Kiwanja cha makazi kinauzwa. Ukubwa wa kiwanja ni mita 20*25 (sqm 500) na ni tambarare. Kiwanja kimeshapimwa na kuwekwa mawe (beacons). Kiwanja kipo Kerege CCM Bagamoyo. Kiwanja kipo umbali wa mita 300 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo (Bagamoyo Road). Eneo limefikiwa na umeme na maji. Barabara safi, gari linafika mpaka site.
Kiwanja kipo karibu na huduma zifuatazo;
Hospitali
Shule ya msingi na sekondari
Mahakama
Maduka ya hardware
Bei ni Tsh 10, 000, 000 (Milioni 10).
Kwa maelezo zaidi piga simu 0675 41 85 81.
When calling a seller to get a good deal, tell him/her you see the AD on Dealstanzania.com